JOH MAKINI AKAMILISHA VIDEO YAKE ALIYOMSHIRIKISHA STAR WA NIGERIA DAVIDO
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Star huyo wa Nigeria alikuwa wa kwanza kuthibisha kolabo hiyo kupitia ukurasa wake instagram kabla ya joh makini kuthibisha akitumia kipande cha picha kinachooneka Kama kwenye uchukuaji wa video hiyo davido alisema
Joh makini na Davido wakiwa location
Back to work !! On set 📽 shoot @johmakinitz ft Davido ..... TZ 🇹🇿 x NAIJA 🇳🇬 !! -
Michel Jackson alizaliwa tarehe 29 August mwaka 1958, akiwa ni mtoto wa nane kati ya kumi wa mzee Joe Jackson na Catherine Jackson, alikuwa na madada wa 3 ambao ni Rebbie, La Toya na Janet, huku makaka zake ni Jackie, Tito, Jermaine, Marlon, Randy, na ndugu yake mwingine anayeitwa Brandon alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa. Alianza kuimba akiwa umri wa miaka mitano akiwa na kundi la Jackson 5, kundi lakifamilia kwani waimbaji wote katika kundi hilo walikuwa ni ndugu zake wa damu, kundi hilo lilifanya vizuri sana nchini marekani na dunia nzima kwa ujumla. Jackson hakuwa na mahusiano mazuri na baba yake Joe Joseph Jackson aliwahi kusema kuwa alikuwa na kawaida ya kumchapa Michael wakati akiwa mtoto, na Michael aliwahi kulalamika kuwa baba yake alikuwa akimnyanyasa kwa kumpiga hasa wakati wa Rehalse ingawa aliwahi kukiri kuwa baba yake alichangia kwa kiasi kikubwa yeye kupata mafanikio. 1968 Boby Taylor na The Vancouver waliligundua Kundi la Jackson 5 ambapo kundi hilo likasign...
Saddam Hussein akiwa kortini Alfajiri ya Jumamosi, 30 Desemba 2006 muda mfupi kabla ya saa 12:00, itakuwa siku ya kukumbukwa katika historia ya taifa la Iraq, kwa machungu au kwa furaha miongoni mwa wananchi wa taifa hilo kutokana na kunyongwa kwa aliyekuwa mtawala wa taifa hilo aliyeondolewa madarakani na majeshi ya kimataifa yakiongozwa na Marekani na Uingereza. Saddam Hussein Abd al-Majid al-Tikriti, ambaye alikuwa mtawala wa taifa la Iraq amekabiliwa na changamoto ya msemo huo kufuatia kutekelezwa kwa hukumu iliyotolewa na mahakama moja nchini Iraq ya ‘kunyongwa hadi kufa’ baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu wa kibinadamu uliomkabili licha ya kukata rufaa na ktupwa baadaye. Wengi tulizoea kusikia majina yake ya Saddam Hussein, lakini majina yake halisi ni kama yalivyotajwa hapo juu na alizaliwa tarehe 28, Aprili mwaka 1937 katika kijiji cha Tikrit katikati ya Iraq, na aliingia madarakani tarehe 16 Julai 1979 na kulitawala taifa hilo kwa ...
Idi Amin Dada alikuwa mwanajeshi kutoka nchi ya Uganda aliyepindua serikali na kujifanya rais wa Uganda tangu mwaka 1971 hadi 1979 hadi alipofukuzwa na jeshi la Tanzania. Alitawala kidikteta ilhali uchumi wa nchi uliporomoka na makosa mengi ya jinai dhidi ya haki za kibinadamu zilitendwa. Idadi ya watu waliouawa Uganda kutokana na utawala wake imekadiriwa kuwa kati ya 100,000 na 500,000 Katika miaka yake ya kushika serikali Amin alibadilika kutoka uhusiano wa kirafiki na nchi za magharibi na hasa Israeli kuhamia upande wa Muammar Gaddafi wa Libya, Mobutu Sese Seko wa Zaire, Umoja wa Kisovyeti na Ujerumani ya Mashariki. Hata hivyo Amin alipata usaidizi wa ofisi ya upelelezi ya Marekani CIA iliyotuma silaha na vifaa vingine kwa jeshi lake. Mwaka 1977 Amin alivunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufalme wa Maungano (Uingereza) akajitangaza kuwa alishinda na kujiongezea sifa ya CBE ("Conqueror of the British Empire"). Kuanzia wakati ule cheo chake...
Comments
Post a Comment