RAYVANNY ACHAGULIWA TUNZO ZA BET AWARD
Mkali kutoka kwenye lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond platnumz amepokea habari njema ya kuwa amechaguliwa kugombea tunzo kubwa za marekani BET AWARD mkali huyo yupo keenye kipengele cha best international viewer's choice
Licha ya nomination hiyo Tanzania imekosa uwakilishi kwenye kipengele cha best Africa act.
Comments
Post a Comment