NEW AUDIO KUTOKA KWA WASAFI #JIBEBE
Wasani kutoka lebo kubwa ya muziki Tanzania WCB wasafi wamekuja ngoma mpya kwa jina Jibebe kutoka kwenye nyimbo hiyo diamond platnumz mbosso pamoja na lavalava wakiwa wameshirikiana kufanya ngoma hiyo kuwa Kali nyimbo hi I imekuja baada ya collable ya diamond na harmonize kwangaru kufanya vizuri kwenye chati tofauti za mziki Afrika.
Isikilize hapa
https://youtu.be/0VIiM8csqc0
Comments
Post a Comment