Posts

LEO NAKULETEA HISTORIA YA MAISHA YA MICHAEL JACKSON

Image
Michel Jackson alizaliwa tarehe 29 August mwaka 1958, akiwa ni mtoto wa nane kati ya kumi wa mzee Joe Jackson na Catherine Jackson, alikuwa na madada wa 3 ambao ni Rebbie, La Toya na Janet, huku makaka zake ni Jackie, Tito, Jermaine, Marlon, Randy, na ndugu yake mwingine anayeitwa Brandon alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa. Alianza kuimba akiwa umri wa miaka mitano akiwa na kundi la Jackson 5, kundi lakifamilia kwani waimbaji wote katika kundi hilo walikuwa ni ndugu zake wa damu, kundi hilo lilifanya vizuri sana nchini marekani na dunia nzima kwa ujumla. Jackson hakuwa na mahusiano mazuri na baba yake Joe Joseph Jackson aliwahi kusema kuwa alikuwa na kawaida ya kumchapa Michael wakati akiwa mtoto, na Michael aliwahi kulalamika kuwa baba yake alikuwa akimnyanyasa kwa kumpiga hasa wakati wa Rehalse ingawa aliwahi kukiri kuwa baba yake alichangia kwa kiasi kikubwa yeye kupata mafanikio. 1968 Boby Taylor na The Vancouver waliligundua Kundi la Jackson 5 ambapo kundi hilo likasign...

NEW AUDIO KUTOKA KWA WASAFI #JIBEBE

Image
    Wasani kutoka lebo kubwa ya muziki Tanzania WCB wasafi wamekuja ngoma mpya kwa jina Jibebe kutoka kwenye nyimbo hiyo diamond platnumz mbosso pamoja na lavalava wakiwa wameshirikiana kufanya ngoma hiyo kuwa Kali nyimbo hi I imekuja baada ya collable ya diamond na harmonize kwangaru kufanya vizuri kwenye chati tofauti za mziki Afrika. Isikilize hapa https://youtu.be/0VIiM8csqc0

LEO KATIKA HISTORIA NAKULETEA MAISHA YA DIKTETA WA UGANDA IDD AMIN

Image
        Idi Amin Dada alikuwa mwanajeshi kutoka nchi ya Uganda aliyepindua serikali na kujifanya rais wa Uganda tangu mwaka 1971 hadi 1979 hadi alipofukuzwa na jeshi la Tanzania. Alitawala kidikteta ilhali uchumi wa nchi uliporomoka na makosa mengi ya jinai dhidi ya haki za kibinadamu zilitendwa. Idadi ya watu waliouawa Uganda kutokana na utawala wake imekadiriwa kuwa kati ya 100,000  na 500,000 Katika miaka yake ya kushika serikali Amin alibadilika kutoka uhusiano wa kirafiki na nchi za magharibi na hasa Israeli kuhamia upande wa Muammar Gaddafi wa Libya, Mobutu Sese Seko wa Zaire, Umoja wa Kisovyeti na Ujerumani ya Mashariki. Hata hivyo Amin alipata usaidizi wa ofisi ya upelelezi ya Marekani CIA iliyotuma silaha na vifaa vingine kwa jeshi lake. Mwaka 1977 Amin alivunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufalme wa Maungano (Uingereza) akajitangaza kuwa alishinda na kujiongezea sifa ya CBE ("Conqueror of the British Empire"). Kuanzia wakati ule cheo chake...

RAYVANNY ACHAGULIWA TUNZO ZA BET AWARD

Image
Mkali kutoka kwenye lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond platnumz amepokea habari njema ya kuwa amechaguliwa kugombea tunzo kubwa za marekani BET AWARD mkali huyo yupo keenye kipengele cha best international viewer's choice Licha ya nomination hiyo Tanzania imekosa uwakilishi kwenye kipengele cha best Africa act.

WIMBO WA DIAMOND BORA NIKAE KIMYA WALETA MVUTANO MITANDAONI MWENYEWE AFUNGUKA

Image
Wimbo  huo wa diamond umezungumzia mengi ikiwemo kutekwa kwa Roma na maswala ya vyeti na mengine umeonyesha kuleta mvutano mkubwa huku baadhi wakiuponda na wengine kuukubali kwa alichokifanya lakini mwenyewe atoa ufafanuzi kwanini aliamua kuachiwa nyimbo kupitia ukurasa wake wa Instagram alisema  @diamondplatnumz  -  Ili Nchi ipate maendeleo inahitaji Upendo na Ushirikiano wa Wananchi na Serikali..Na Nikiwa kama Msanii, jukumu langu ni kuhakikisha natumia Hekma na busara kukemea jambo nilionalo haliko sawa ili lirekebishwe,  lakini pia panapokuwa hakuna maelewano jukumu langu pia ni kupatanisha ili kwa pamoja tujenge nchi yetu kusudi wazazi wetu, watoto pamoja na familia zetu waishi kwa Upendo Amani na kufurahia nchi yetu...Na ndiomaana kwenye nyimbo nakwambia "MI NA WEWE  WA TAIFA MOJA...KAMBARAGE BABA MMOJA....SASA TOFAUTI ZA NINI TUSHIKAMANE TUKAIJENGE TANZANIA"... Unatakiwa utambue kuwa kila kiongozi ni Binadamu na kama wote tujuavyo, Binadamu ...

ROMA MKATOLIKI NA MWENZAKE MONI WADAIWA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA

Image
Tukio hilo limetokea Tongwe record wakitimiza majukumu yao habari zimesibitishwa na mbunge wa mikumi mh.Joseph haule jina maarufu profesa J soma alichoandika @professorjaytz  -  ROMA MKATOLIKI AMEKAMATWA USIKU HUU... Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONI  @moni_centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana.. Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!  - Wawili hao walishirikiana kwenye wimbo usimsahau mchizi

LEO KATIKA HISTORIA NAKULETEA SEHEMU YA MWISHO YA MAISHA YA OSAMA BIN LADEN

Image
HISTORIA YA OSAMA BIN LADEN- SEHEMU YA PILI KUANZISHWA KWA AL QAIDA Mwaka 1988 jeshi la Kisovyeti ilianza kuondoka Afghanistan. Viongozi wa mujahedin Waarabu katika Afghanistan waliokuwa Bin Laden na Wamisri kama Aiman az-Zawahiri na Abdullah Azzam walishauriana pamoja namna ganikuendeleza jitihadi zao. Walitofautiana kama kulenga serikali za nchi za Kiarabu zisizokuwa za kidini kama huko Misri au kuhamia Palestina au kupeleka jihadi yao kwenda jamhuri za Kisovyeti za Asia ya Kati kama Tajikistan zilizokaliwa na Waislamu.Mkutano huu ulifanyika katika kambi lililoitwa "al-qaida" kwa kiarabu. Hili lilikuwa baadaye jina kwa kundi lililoongozwa na bin Laden. Sehemu ya mujahidin Waarabu walimfuata bin Ladin katika kushambulia jeshi la serikali la Afghanistan iliyoendelea kujitetea hata baada ya kuondoka kwa Wasovyeti. Mwaka bin Laden alitembelea tena Saudia akashauriana na serikali kuendelea namna gani. Alipopewa jibu heri arudi kwake akatii akarudi pamoja na kikosi chake. Baa...