ROMA MKATOLIKI NA MWENZAKE MONI WADAIWA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA

Tukio hilo limetokea Tongwe record wakitimiza majukumu yao habari zimesibitishwa na mbunge wa mikumi mh.Joseph haule jina maarufu profesa J soma alichoandika

@professorjaytz  -  ROMA MKATOLIKI AMEKAMATWA USIKU HUU... Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONI  @moni_centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana..
Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!  -

Wawili hao walishirikiana kwenye wimbo usimsahau mchizi

Comments

Popular posts from this blog

LEO NAKULETEA HISTORIA YA MAISHA YA MICHAEL JACKSON

LEO KATIKA HISTORIA NAKULETEA MAISHA YA SADDAM HUSSEIN

LEO KATIKA HISTORIA. KIFO CHA RAIS WA ZAMANI WA LIBYA MUAMMAR GADDAFI