ZLATAN IBRAHIMOVIC KUREJEA KIKOSINI MECHI YA KESHO



Mchezaji huyo raia wa Sweden anarudi uwanjani kuitumikia klabu yake ya Manchester united mala baada ya kumaliza adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu kwa kucheza mchezo usio wakiungwana mechi hiyo itazikutanisha Manchester united na Everton



Comments

Popular posts from this blog

LEO NAKULETEA HISTORIA YA MAISHA YA MICHAEL JACKSON

LEO KATIKA HISTORIA NAKULETEA MAISHA YA SADDAM HUSSEIN

LEO KATIKA HISTORIA. KIFO CHA RAIS WA ZAMANI WA LIBYA MUAMMAR GADDAFI