BARAKA DA PRINCE AZICHANA TEAM ZA MITANDAONI
Star huyo bongofleva alijikuta kwenye wakati mgumu baada kuamua kum unfollow mwanamuziki Ally kiba kwa sababu ambazo azikuweza kufahamika akitumia mtandao wake wa instagram Baraka aliandika
@barakahtheprince_ - Pale unatangaza vita na #GAID ukidhani kelele zako na vijimaneno vyako kwake ni sheria,na ukajisahau kama uyu ni #GAIDI mda wowote kinalipuka maana vita kwangu ni sherehe...tusipangiane maisha tafadhali wazee wa mateam.... #ACHA_NIENDE link kwa bio yangu...
#crownprince
Comments
Post a Comment