WEMA SEPETU AJIBU KAULI YA HARMORAPA KUMTAKA KIMAPENZI


Tz sweety heart huyo ameonyesha wazi kukerwa na kitendo hicho cha mkali huyo wa kiboko ya mabishoo akitumia ukurasa wake wa Instagram sepenga alifunguka mengi ikiwemo kumkanya kuendelea na tabia yake hiyo kwani haimpendezi.




@wemasepetu__Sijawahi kumchukia yeyote anayehangaika kutafuta riziki yake kwa kuwa nami pia natafuta. Ila mdogo wangu Harmorappa u are getting too much. Pigana na namna utakavyo kupeleka muziki na jina lako juu but get me out of this. Nakuheshimu kama msanii mwenzangu lakini hili la kunadi kunitaka kimapenzi na kuonyesha utayari wa kufanya mambo kadha wa kadhaa kwangu please waambie wengine unaodhani mnawezana ila mimi sio wa aina hiyo. Usiiharibu image yangu niliyoipigania muda wote, usiniharibie heshima yangu ninayoijenga sasa ktk chama changu CHADEMA, usiniharibie kwenye familia yangu, marafiki zangu na usiniharibie kwa niliye nae. Ni utoto na ujinga kuposti kila uchao picha za wanawake eti wanakutaka au unatoka nao *DO U THINK NAMI NI WA AINA HIYO?* Usinidharaulishe.... Nadhani kuna busara ya wewe to look for another one but *AM NOT FOR U* and i hope utanipa heshima yangu kama dadaako, msanii mwenzako *LETS STOP THERE*  

Kauli hiyo ya wema imekuja mala baada kueneo video mitandaoni inayomuonyesha harmorapa akiwa na pete aliyodai ni maalamu kwa madam sepenga endapo angekubali ombi lake hilo la kukubali kufunga ndoa nae.

Comments

Popular posts from this blog

LEO NAKULETEA HISTORIA YA MAISHA YA MICHAEL JACKSON

LEO KATIKA HISTORIA NAKULETEA MAISHA YA SADDAM HUSSEIN

LEO KATIKA HISTORIA. KIFO CHA RAIS WA ZAMANI WA LIBYA MUAMMAR GADDAFI