JOHN CENA AMCHUMBIA MPENZI WAKE NIKKI BELLA
Mpiganaji huyo wa wwe alifanya tukio hilo katika ufunguzi wa wrestle mania 33 na kuwaacha mashabiki vinywa wazi john na mpnzi wake huyo walikiwa kwenye uhusiano wa kimapenza kwa miaka 5 kabla ya kufikia uamuzi huo.
John cena akimbus mpenzi wake Nikki Bella baada ya kumvisha Pete
Comments
Post a Comment