NAY WAMITEGO ADAI KUWINDWA NA WATU
Rapa Ney wamitego ametuma ujumbe mzito kwa mashabiki wake nay amefunguka mengi ikiwemo kuwindwa na watu wsiomtakia mema soma alichokiandika kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Usalama wa Maisha yangu umekua Mdogo kwasasa, Wana panga kunipoteza ikibidi nisiwepo kabisa kwenye hii Dunia. Nipo tayari kwa chochote wanacho panga kufanya Coz sijajipanga kupambana nao, Mimi ni Mwana Muziki si vingine. Kwa chochote kitachotokea Familia yangu itakua na chakuongea. Siwezi kuhama Nchi wala kukimbia nitafia hapa hapa. Na siko tayari kupindisha Chochote.! Nyie Ndo mtanilinda. Sina Mlinzi na sitarajii kua na mlinzi. OnlyGod🙏🏿
#Wapo
#Truth - #regrann

Comments
Post a Comment