WIMBO WA DIAMOND BORA NIKAE KIMYA WALETA MVUTANO MITANDAONI MWENYEWE AFUNGUKA
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhqYCP3LP_OoIcy9QmjIIDodxCszA7ALvXWiNVi0czyvUEbr5U85a6WEQ4Yc1cLHW-x3oRkySyvvh5-JZw1Mmaq8I03k2aO2AyeZlOpHpjy5GYNqAI67jNmHCWJw4XBOYCtEtxvDwkBdUI/s320/IMG_20170408_134931_802.jpg)
Wimbo huo wa diamond umezungumzia mengi ikiwemo kutekwa kwa Roma na maswala ya vyeti na mengine umeonyesha kuleta mvutano mkubwa huku baadhi wakiuponda na wengine kuukubali kwa alichokifanya lakini mwenyewe atoa ufafanuzi kwanini aliamua kuachiwa nyimbo kupitia ukurasa wake wa Instagram alisema @diamondplatnumz - Ili Nchi ipate maendeleo inahitaji Upendo na Ushirikiano wa Wananchi na Serikali..Na Nikiwa kama Msanii, jukumu langu ni kuhakikisha natumia Hekma na busara kukemea jambo nilionalo haliko sawa ili lirekebishwe, lakini pia panapokuwa hakuna maelewano jukumu langu pia ni kupatanisha ili kwa pamoja tujenge nchi yetu kusudi wazazi wetu, watoto pamoja na familia zetu waishi kwa Upendo Amani na kufurahia nchi yetu...Na ndiomaana kwenye nyimbo nakwambia "MI NA WEWE WA TAIFA MOJA...KAMBARAGE BABA MMOJA....SASA TOFAUTI ZA NINI TUSHIKAMANE TUKAIJENGE TANZANIA"... Unatakiwa utambue kuwa kila kiongozi ni Binadamu na kama wote tujuavyo, Binadamu ...